Dully Sykes Ft Marioo Kijiti Lyrics

Dully Sykes Ft Marioo Kijiti Lyrics

[Intro]
Kutokaaaa
Hellooooo

[Verse 1]
Mwanamke apewe hela nyingi
Eeeeeh!
Mwanamke apewe matunzo
Hudumiaaaah!
Mwanamke hapigwi ngumi
Ngumi jiwe
Eeeehhh!
Mwanamke anadekezwa

[Chorus]
Bebe zinapenda
wanaume kama sisi
Sisi tunapenda
wanawake wazuri
Bebe zinapenda
wanaume wanukie
Na sisi round hii
tunanukia hela

I do like woman
Go bad gooooo!!
I do like woman
Bry bang bang!!
I do like woman
Go bad gooooo!!
I do like woman

[Bridge]
Hakuna mkate mgumu
Mbele ya chai chai
Washa kijiti
Kijitiiii!!!
Watoto wanpenda
Kijiti
Kijiitiii!!!
Wawashie kijiti iiih
Kijiitiii!!!
Watoto wanapenda kijitiiiih
Kijiiitiii!!

[Verse 2]
Tuko busy
Kutafuta hela
Juu chini
Mchana usiku
Yote kwasababu
Ya mapenzi
Watoto siku hizi
Hawapendi sura
Hawapendi majigambo
Wao wanapagawa
Na shoow

Show kalii
Busy kutafuta hela
Juu chini
Mchana usiku
Yote kwasababu
Ya mapenzi
Watoto siku hizi
Hawapendi sura
Hawapendi majigambo
Wao wanapagawa
Na shoow

[Hook]
Kriiii bang bang
Show kalii
Sunna wanne
Mmoja hanitoshi
Me nataka wanne
Sunna wanne
Mmoja hanitoshi
Me nataka wanne

I do like woman
Go bad gooooo!!
I do like woman
Bry bang bang!!
I do like woman
Go bad gooooo!!
I do like woman

[Outro]
Hakuna mkate mgumu
Mbele ya chai chai
Washa kijiti
Kijitiiii!!!
Watoto wanapenda
Kijitiiii
Kijiiitiii!!
Wawashie kijiiitiii
Kijiitiii!!
Watoto wanapenda kijitiiiih
Kijiitiiii!!!

Recommended:

  1. D Voice Gharama Lyrics
  2. Billnass Ft. Mbosso Boda Lyrics
  3. Topazz Millenium – One More Time Lyrics