Naomba Niwe Baraka Kwa Wengine Lyrics, Naomba Niwe Baraka Kwa Wengine Lyrics – Burton King
Eiyeee yokaa
(Chorus)
Naomba niwe baraka kwa wengine
Niwe baraka kwa watu
Nisiwe sababu ya yeyote kuanguka
Nisiwe sababu ya yeyote kulia
(Verse 1)
Niwe macho kwa vipofu
Niwe mikono kwa wasio nayo
Niwe miguu kwa viwete
Bwana nifanye baraka, baraka
Bwana unifanye msaada kwao
Washukuru Mungu walikutana nami
(Chorus)
Naomba niwe baraka kwa wengine
Naomba, niwe baraka kwa watu
Hili ni ombi langu
Nisiwe sababu ya yeyote kuanguka
Nisiwe sababu ya yeyote kulia
(Bridge)
Mimi naombaa…
Naomba niwe baraka kwa wengine
Naomba, niwe baraka kwa watu, niwe baraka tu
Nisiwe sababu ya yeyote kuanguka
(Verse 2)
Sitaki niwe sababu, nisiwe sababu ya
Ya yeyote kutumia
Ooh Bwana, yeyote nitakayekutana naye
Niwe wa dhamana kwenye hatima yake
(Outro)
Nafasi yangu kwenye maisha yake
Iandikwe kwenye jiwe
Nitaomba msamaha hata wakati mimi nimekosewa
Ikiwa hiyo itanifanya wa dhamana kwake
Recommended:
Leave a Reply