Billnass Ft. Mbosso Boda Lyrics

Billnass Ft. Mbosso Boda Lyrics

Ndo kwanza tupo kilomita sita
Funga mkanda bado hatujafika
Huku njiani kuna vita
Subira itahitajika

Shida, mitihani
Binadamu tumeumbiwa
Na mapenzi ni burudani
Toka enzi tuliambiwa

Umeleta furaha
Kipindi cha mashaka
Moyo ulipakwa mikaa
Umeutakasa sasa

Chorus

Sababu sina
Sina sababu
Nikiulizwa nimependa nini
Sina jawabu

Niwe wako boda boda
Boda boda boda
Popote tutatembea
Boda boda boda

Ooh hutolipia feaa
Boda boda boda
Foleni hutongojea

Billnass

Nakukamatia juu
Nakukamatia chini
Watu wote wanajua
Nakukamatia mimi

Wanafki wambea
Watakamatia nini?
Acha waende waturoge
Si tukamatie dini

Story za mapenzi
Si tunafaa
Washasemaga mengi
Miaka kadhaa

Na bado tuna trend
Usiku na saa
Si uko na Mnyamwezi?
Kibana baa kibana baa

Habib ee
Siri ndogo ndogo nifichie
Kama nikikosa niambie
Na nikipatia nisifie
Unisifie baby

Habib ee
Siri ndogo ndogo nifichie
Kama nikikosa niambie
Na nikipatia nisifie
Unisifie

(Chorus – Repeat)

Sababu sina
Sina sababu
Nikiulizwa nimependa nini
Sina jawabu

Niwe wako boda boda
Boda boda boda
Popote tutatembea
Boda boda boda

Ooh hutolipia feaa
Boda boda boda
Foleni hutongojea

More Music:

Topazz Millenium – One More Time Lyrics