D Voice Gharama Lyrics
Aaaaaah ooooohhh
Unataka kunila
Na haunilishi
Nikupe pole
Utanila kwa macho
Unataka nikugande
Na hanifikishi
Kileleni utanila
Kwa macho
(Chorus)
Gharama, starehe
Gharama
Ukitaka vizuri
Gharamia
Kama hauna tafuta
Kazi ya kufanya
Usipende pende
Vya bure utaumia
Kwa hiyo kaka
Demu usiomuhudumia
Muone kama dada ako
Aaah kama umpi
Chochote
Huyo shoga ako
Ndugu yangu
Demu usiomuhudumia
Muone kama dada ako huyo
Ayaa yaa
Kama umpi
Chochote
Huyo shoga ako
(Bridge)
Watu mjini
Wametumwa hela
Mjini wametumwa hela
Vya bure bure
Utapata jela
Vya bure bure
Utapata jela
Watu mjini
Wametumwa hela
Vya bure bure
Utapata jela
(Verse 2)
Ah! Na hiyo nauli
Aliyokutumia
Mwenyewe ndo hela
Yake ya kula
Mwana anajuwa
Uhakika
Leo anapata
Chura
Ghafla unapiga simu
Umepata dharula
Kwani unashida gani
We mama ashura
Unaboa
Usicheze na hela
Ya masela
Na hela
Ya masela
Anapata tabu
Kutafuta hela
Huruma
Akupe weukanunue videla
Akanunue videla
Anakuita geto
Unagoma kuja
Kwa hiyo dada
Bwana usiyempa
Chochote
Huyo kaka ako
Marufuku ukome
Kumuomba hela
Huyo baba ako
Aaaah si autaki
Kumpa
Huyo kaka
Ako huyoo
Ukome kumuomba
Hela
Huyo baba
Ako wewe
(Outro)
Watu mjini
Mjini wametumwa hela
Vya bure bure
Utapata jela
Mjini wametumwa hela
Vya bure bure
Utapata jela
Ahhhhh Aaaaah!!!!!
Recommended:
Leave a Reply