Jux Si Mimi Lyrics
Intro:
Heeeey Yeee
Yeiyeee Yeeeyee
Verse 1:
Nitazunguka dunia nitangaza sifa zako
Uzuri wako siwezi fanya siri
Wanibebeshe gunia na zote dhambi zako
Sumu yako imetawala mwili
Chorus:
Si mimi ni akili yangu
Si mimi ni moyo wangu
Si mimi ni mawazo yangu
Si mimi labda roho yangu
Hook:
Mimi bila wee
Mimi bila wee
Mimi bila wee
Si bora waniue
Mimi bila wee
Mimi bila wee
Mimi bila wee
Si bora waniue
(Instrumental)
Verse 2:
Yeeeeah Ooooooh Aaaaaah!
We ndo daktari
Mponya maradhi
Yaani kama zali
Zali la mentali
Nakupenda kweli
Hilo liko wazi
Jua ukinitupa utaniachia simanzi
Chorus:
Si mimi ni akili yangu
Si mimi ni moyo wangu
Si mimi ni mawazo yangu
Si mimi labda roho yangu
Hook:
Mimi bila wee
Mimi bila wee
Mimi bila wee
Si bora waniue
Mimi bila wee
Mimi bila wee
Mimi bila wee
Si bora waniue
Hilo lipo wazi
(Instrumental)
Outro:
Ka Mix Laizer
Recommended:
Leave a Reply