Killy Niokoe Lyrics

Killy Niokoe Lyrics,

(Intro)
Yeeeyeee Yaaa Iyeeee iiii
Oooohhh Naaa Mocco

(Chorus)
Milele tufe tuzikwe wote
(Tuzikwe wote)
Hata kidogo nkianguka
Uniokote, Aaaah Uniokote
Mbele sioni, sisikii chochote
Aaaaah Aaaah Uuuuh
Tuwape visogo waseme wachoke

Baby moyo wangu
Umezungukwa
Na makopa ya upendo
Shahidi Mungu juu
Atutunze, tuzimize malengo

(Pre-Chorus)
Hiki kidari (hikii)
Sasa hivi
Hakitunzi siri
Umbea wa saa kumi na mbili
Saa moja nshalileta faili

Hiki kidari (hikii)
Sasa hivi
Hakitunzi siri
Umbea wa saa kumi na mbili
Saa moja nshalileta faili

(Chorus)
Niokoe
Mwenzako nshazama (Nshazamaa)
Niokoe, Mhh!
Nateketea mapenzi

Niokoe
Mwenzako nshazama (Nshazamaa)
Niokoe
Nateketea mapenzi

(Instrumental Break)

Verse 2

Usikaribishe
Mahasidi penzini
Wakatugombanisha
Ukaanza kutoa
Na siri za ndani

Maneno
Yakatufinisha
Mpenzi, mpenzi
Ukiniacha
Utanipa maumivu

Mwenzako
Peke yangu siwezi
Wasikuite
Mi nnawivu

(Pre-Chorus – Repeat)
Hiki kidari (hikii)
Sasa hivi
Hakitunzi siri
Umbea wa saa kumi na mbili
Saa moja nshalileta faili

Hiki kidari (hikii)
Sasa hivi
Hakitunzi siri
Umbea wa saa kumi na mbili
Saa moja nshalileta faili

(Chorus – Repeat)
Niokoe
Mwenzako nshazama (Nshazamaa)
Niokoe, Mhh!
Nateketea mapenzi

Niokoe
Mwenzako nshazama (Nshazamaa)
Niokoe, Ehhh!
Nateketea mapenzi

(Instrumental Outro)

Recommended:

  1. Vanillah Ni Kwa Muda Lyrics
  2. Jordin Sparks Ft Chris Brown No Air Lyrics
  3. Kendrick Lamar Not Like Us Lyrics
  4. Kusah Blessing Lyrics
  5. Topazz Millenium – One More Time Lyrics